MANNY CHUGA AJIANDAA KUMKABILI SELEMANI MOTTO MARCH 23.
Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga ngumi kwa shabaha wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati...
View ArticleSTEPHEN WASSIRA NA MREMA WANASIASA WENYE MSIMAMOTHABITI.
Kati ya Wanasiasa wenye msimamo usio yumba, wanajiamini na kusimamia sera za chama chake. Tangu nimemjua Wassira amekuwa kiongozi anaetekeleza kwa vitendo sera za chama na serikali, kuanzia jimboni...
View ArticleMAHAFALI YA KWANZA KWA WANAJESHI WALIOHITIMU MAFUNZO YA STRATEGIC STUDIES...
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na wandishi wa habari mara baada ya kuwatunuku Tuzo za shahada (diploma) na stashahada za uzamilivu (post graduate) Wanajeshi 52 kutoka nchi za SADC. Wa...
View ArticleMATOKEO YA AWALI YASIYO RASMI VITUO MBALIMBALI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA.
TOSA no.1 CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53,...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI SHILINGI MILIONI TANO KWA WANAWAKE KWAAJILI YA TUZO YA...
Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde (kushoto) akimkabithi mfano wa hundi mwenyekiti na Mratibu wa Mradi wa The Unity of Women friends Maryam Shamo wakati wa halfa ya Tuzo za Mwanamakuka 2014...
View ArticleHIZI HAPA AMBULANCE BAJAJ MADE IN MWANZA.
Huu hapa ubunifu wa usafiri rahisi kwa huduma ya afya, yaani kusafirishia mgonjwa kutoka eneo moja kwenda jingine kwaajili ya kupata matibabu. Made in Mwanza.Ni pikipiki za miguu mitatu zenye double...
View ArticleMZEE WA MIAKA 60 AGONGWA NA DALADALA MBILI KATIKA ENEO LA MABATINI NA KUFA.
Pichani wananchi wakiuangalia mwili wa marehemu Mzee mmoja ambaye anatajwa kwa jina la Mihayo Ngofa aliyefariki dunia papo hapo juzi (jumamosi) majira ya saa 3 usiku baada ya kugongwa na magari mawili...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI MWANZA WAPIGWA MSASA KUISAIDIA JAMII KATIKA MAAMUZI YA...
Jimmy Luhende ni Mmoja kati ya waendesha warsha ambao walisimamakidete hii leo kutoa elimu kwa waandishi wa habari mkoani Mwanza inayohusu Usaidizi wa Sheria kwa jamii, iliyoanza leo katika ukumbi wa...
View ArticleMSAKO WA NDEGE WAANZA ARDHINI CHINA.
Hii ni sehemu ya juhudi za kimataifa zinazoendelea kuitafuta ndege hiyo.China imesema kuwa hakuna abiria yeyote wa nchi hiyo aliyekuwa katika ndege hiyo amehusishwa na ugaidi. Wataalamu wanaoendesha...
View ArticleMFUNGWA ABAKA MWANAFUNZI GEITA.
NA. BARUTI.Mfungwa wa gereza la Butundwe wilayani Geita mkoani Geita, mwenye amba 224/2013 Godfrey Selemani (19) anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa shule ya msingi Luhuha kata ya Nyakagomba wakati...
View ArticleWANNE WAUAWA MKOANI MWANZA KWA TUHUMA ZA WIZI WA NG'OMBE
WATUwanne wameuawa mkoani Mwanza kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe Katika eneo la Igwambiti kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana.Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza...
View ArticleCHELSEA YAINYOA GALATASARAY
Etoo aifungia Chelsea dhidi ya Galatasaray.Chelsea ndiyo timu ya pekee ya Uingereza iliyojihakikishia nafasi ya kushiriki mechi za robo fainali za ligi ya mabingwa barani uropa baada ya kuinyamazisha...
View ArticleJITOKEZENI WAKATI WOTE KUKISAIDIA CHAMA (CCM) SIYO KUSUBILI WAKATI WA...
Mjumbe mstaafu wa Baraza Kuu la UVCCM taifa wa mkoa wa Mwanza, Barnabas Mathayo, akizungumza na vikundi mbalimbali vya ujasiliamali toka mashina matano ya CCM wilaya ya Ilemela ambapo pia alitoa...
View ArticleCHIPUKIZI WA ALLIANCE ANYEMELEWA NA AZAM, AL AHAL (MISRI), KENYA NA NAMIBIA
Na Peter FabianNA ALBERT G. SENGO: MWANZA.MCHEZAJI Chipukizi wa timu ya Alliance cademy Athanas Mudaula (17) aliyeteuliwa kwa mara ya kwanza na kujumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa Stars amevisa...
View ArticleMAN UNITED YASONGA UEFA 2014.
Robin van Persie alifunga mabao matatu na kuisaidia mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza Manchester United, kujikatia tiketi ya kushiriki robo fainali ya kombe la kilabu bingwabarani Ulaya baada...
View ArticleWAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda...
View ArticleKAMPUNI MPYA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONINI SMART TELECOM YAZINDULIWA JIJINI
Viongozi wakuu wa kampuni ya Smart Telecom,Afrika Masharikii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi waliojipatia zawadi kupitia mtandao huo,baada ya kushiriki kwenye kampeni ya GIVE US A...
View Article