Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN YAZIIMARISHA CLUB ZAKE (UNA) KANDA YA ZIWA KWAAJILI YA KUFIKIA MALENGO YA...

Afisa habari wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini Usia Nkhoma (wa pili kutoka kushoto) akiwa na mkutubi wa shirika hilo Bi. Hariet Macha (katikati) wakikabidhi vitabu  na machapisho mbalimbali ya taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA...

Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitisha sheria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YASAIDIA AFYA YA UZAZI KUPITIA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI.

Airtel yasaidia Afya ya Uzazi kupitia kampeni ya Wazazi Nipendeni.Dar es Salaam Monday, 31 2014, Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kushirikiana na M-Heath Tanzania katika Kampeni ya Wazazi nipendeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBELE KWA MBELE BORA LIENDE.

Ni basi la abiria 60 ambalo hufanya safari zake Mwanza - Shiyanga hadi Kahama.Ni basi aina ya Scania toleo la zama hizo enzi za Mwalimu ambalo hata hata speed meter imekufa..Yahitaji kujipanga au kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA UTALII LAZARO NYALANDU KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA UMOJA WA...

Ili kuboresha suala la utoaji huduma na kutetea masilahi yao kwa waajiri wao na kukabiliana na changamoto mbalimbali zikiwemo udhibiti wa wizi kwa mali za wateja, Mameneja na Wafanyakazi wa Mahoteli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO SATRINE ATOLEWA RISASI KICHWANI

Madaktari katika hospitali kubwa zaidi ya umma nchini Kenya,Kenyatta, wamefanikiwa kutoa risasi iliyokuwa imekwama katika ubongo wa mtoto Satrine Osinya mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.Risasi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA BARABARA...

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini,Mh.Ali Mohammed Kessy,walipokuwa wakitembea kwa miguu kufuatia msafara huo kukumbana na changamoto ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL FOR PROPOSALS.

CALL FOR PROPOSALS.Tanzania Financial Services for Underserved Settlements (TAFSUS) is a Local Finance Facility which provides credit enhancement to Community Driven Settlement Upgrading Projects in...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE SOON COMING THING NI SHIDA...!!

THE SOON COMING THING:  #OneLoveFX #Lulu #Gnako #Nickmbishi #Godzilla

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJINI KIDUCHU NA NCHI KAVU MWANZA.

Ni muonekano kidizaini wa nyuma ya mawe ya Bismark jijini Mwanza.Mv Samar 3 ikielekea kutia nanga katika bandari yake Kamanga.Kamanga Ferry na pilika zake.Kuelekea Sengerema.Daraja njiani kuelekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA MFUKO WA BIMAYA AFYA (TIKA) WATINGA BARIADI.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Bariadi Erica Musika akiongea katika warsha ya mfuko wa Bima ya Afya ya TIKA mjini Bariadi.Erica Musika toka meza kuu.Waheshimiwa Madiwani wakisikiliza kwa umakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA TAKRIBANI MILIONI 3.3 HUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI : GAVANA BENNO NDULU

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM WAONYESHA PATO LA MWANANCHI...

Nje ya Ukumbi maarufu wa Mikutano na Harusi wa Royal Sunset Beach Resort uliopo Luchelele Mkolani Wilayani Nyamagana. Vingozi wakiwasilindani ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza leo.Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REAL MADRID YAIBANJUA BORRUSIA DORTMUND 3-0 UEFA.

Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale akisherehekea mara baada ya kuiongoza timu yake kupata goli la kwanza dhidi ya Borussia Dortmund na hapa akiwa na mchezaji mwenzake Daniel Carvajal. Photograph:...

View Article

NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA TANZANIA

NAFASI  ZA  KAZI  ZA  KUJITOLEATaasisi  zisizo  kuwa  za  kiserikali ( NGOs)  kutoka  katika  wilaya  mbalimbali  za  Tanzania  bara  na  visiwani,zinahitaji  vijana  wa  kitanzania  wenye  sifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA...

Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUKUTWA NAKIDOLE CHA MTU.

JESHI la Polisi Mkoani Iringa, linawashikilia Vijana wawili wakazi wa Kijiji cha Mazombe, Mkoani humo, kwa tuhuma za kukutwa na ‘kidole cha binadamu’ kutokana na Imani za kishirikina.Kaimu Kamanda wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA MATUKIO SHEREHE ZA WIKI YA ELIMU WILAYANI ITILIMA.

Bango la makaribisho.Mgeni rasmi aliyealikwa kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Simiyu bwana Maganga na mkuu wa wilaya ya itilima Georgina Bundala wakiwasili katika sherehe hizo.Wananchi walio hudhulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAONYESHA UZALENDO KWA KUSAFISHA MIFEREJI MTAA MZIMA.

Ili kuonyesha kuwa wamehamasika na kampeni ya Onyesha Uzalendo Tangaza Upendo iliyoasisiwa na kituo Cha Radio Clouds Fm nchini, vijana wa mtaa wa Mwaloni karibu na soko kuu la samaki Mwaloni Kirumba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADA YA KUUOMBEA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOSISI YA...

Jeneza likiwa na  mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>