MHUDUMU MWINGINE WA AFYA AANGUSHWA NA EBOLA -UGANDA
Wizara ya Afya nchini Uganda imethibitisha kifo cha mhudumu mwingine wa afya, ambaye aliaga dunia usiku wa kuamkia Jumatano, Oktoba 5. Mgonjwa huyo alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa Ebola kwa siku...
View ArticleWIZARA YA ELIMU YATAMBA KUIBUKA MABINGWA MICHUANO YA SHIMIWI TANGA
Mratibu wa Dawati la Michezo Idara ya Utawala wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Salome Mziray kulia akipokea jezi kutoka kwa benki ya NMB kwa ajili ya Mashindano hayoMratibu wa Dawati la...
View ArticleMWENYEKITI APORA ARDHI ZA WANANCHI,ATISHIA KUWAUA WAKILALAMIKA
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiwa eneo lenye mgogoro wa ardhi kutatua mgogoro huo baina ya wananchi wa Kijiji cha Mgera na mwenyekiti wa Kijiji hicho Lucas Mgata ambaye amavalia shati...
View ArticleDawasa yajizatiti kuboresha huduma ya maji kwa wawekezaji
Rais .mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wa kulia akipata maelezo kwa mtendaji mkuu wa Dawasa Injinia Cyprian Luhemeja alipotembelea katika Banda hilo la Dawasa. Na Victor Masangu,Pwani...
View ArticleWIZARA YA ELIMU YAIBAMIZA WIZARA YA SHERIA NA KATIBA KWA SETI 32-8 MICHUANO...
Mchezaji wa mchezo wa Pete wa timu ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia wenye jezi za zambarai kushoto akiwania mpira dhidi ya wa Wizara ya Sheria na Katiba wakati wa mechi ya Mchezo wa Pete...
View ArticleTANESCO KANDA YA KASKAZINI WAELEZA MIKAKATI UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA
Mkurugenzi wa Tanesco Kanda ya Kaskazini Mhandisi Fedgrace Shuma kulia akiwakabidhi tuzo na cheti kwa uongozi wa Kiwanda cha PPTL Jijini Tanga ikiwa ni kama wateja wakubwa wa Shirika hilo ikiwa ni...
View Article'HII HAPA NGOMA UIPENDAYO'
Mara ya kwanza binafsi niliusikiliza kama freestyle hivi, ... vipi kwako uliusikia kwa mazingira gani? Jamaa anaitwa Micky Singer na wimbo waitwa Wanijue.
View ArticleBODABODA APIGWA PESA NA MGANGA AKISAKA MAFANIKIO
Mhudumu wa boda boda kutoka Loitoktok, Kaunti ya Kajiado amemshtaki mganaga wa kienyeji kwa kumtapeli KSh 543,200 (Zaidi ya milioni 9 za Kitanzania). Mhudumu huyo, Dickson Murigi, alimwambia hakimu...
View ArticleTMDA YAKAMATA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME NA P2 HATARI KWA UZAZI KANDA YA ZIWA
Dawa hizo ni VEGA 100 zinazodaiwa kuongeza Nguvu za Kiume ambazo hazijasajiliwa na Dawa za kuharibu Vichocheo (Hormones) kwa Wasichana ili wasipate Ujauzito-Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba...
View ArticleMPINA AREJESHA FOMU YA KUOMBA UNEC WA CCM MKOA WA SIMIYU NA UNEC CCM VITI 15...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina akikabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Mkoa wa Simiyu, Mohammed Ali Khalfan kwa ajili ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya MNEC Mkoa wa...
View ArticleWATANZANIA WALIONYESHA UZALENDO MKUBWA WAKATI WA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA...
Kamisa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 Anna Makinda akizungumza wakati akapokea taarifa ya utekelezaji wa zoezi la sensa ya watu makazi ya mwaka 2022 mkoani Tanga katika ziara yake Mkoani humo kulia...
View ArticleSEKELA (STYES) - JINSI YA KUZITIBU, JINSI YA KUZIEPUKA.
Je, wakati fulani unapata vipele vyekundu vilivyo na laini kwenye ukingo wa kope zako? Labda ni sekela.Na ingawa zinaweza kuwa chungu (na karibu kila wakati zisizofurahi), unaweza kuchukua hatua za...
View ArticleWIZARA YA ELIMU YANG'ARA RIADHA KATIKA MICHUANO YA SHIMIWI
Na Oscar Assenga,TANGATIMU ya Mchezo wa Riadhaa ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imeng’ara katika Mashindano ya Shimiwi yanayoendelea Jijini Tanga huku wakimbiaji wake kuchukua nafasi za...
View ArticleWashindi wa mwezi septemba wa promosheni ya “Tisha na TemboCard” wakabidhiwa...
Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa Benki ya CRDB, Farid Seif (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi laki tano, mshindi wa pili wa promosheni ya “Tisha na TemboCard”, Diana Lucas...
View ArticleDawasa chapeni kazi kudhibiti upotevu wa maji'Naibu waziri wa uwekezaji na...
Meneja wa mawasiliano Dawasa wa kushoto Everlasting Lyaro akitoa maelekezo kwa Naibu wa uwekezaji na biashara Exavd Kigahe alipotembelea katika Banda la Dawasa. Na Victor Masangu,Pwani Naibu waziri wa...
View ArticleTbs yaja na mpango wa kuwatembelea wajasiriamali wadogo masokoni
Afisa masoko wa Shirika la viwango Tanzania (TBS) Roda Mayugu wa kushoto akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa Wizara na uwekezaji na biashara Exavd Kigahe alipotembelea banda hilo.Na Victor...
View ArticleMILIONI 900 KUJENGA MADARASA 45 SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA IRINGA
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake namna ambavyo serikali kuu imetoa kiasi cha shilingi milioni 900 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
View ArticleLANDESA:UWEKEZAJI WAJIBIFU WA ARDHI YA JAMII UTAPUNGUZA MIGOGORO
Mkurugenzi wa Landesa Tanzania, Godfrey Massay akipekua baadhi ya taarifa za ardhi wakati wa mafunzo ya wanahabari na wadau wa ardhi yaliyofanyika mjini MorogoroBaadhi ya washiri wa warsha ya...
View ArticleSHIRIKA LA BRAC MAENDELEO TANZANIA LIMEJIKITA KUWASAIDIA WATOTO WA KIKE
Naibu Meya wa Jiji la Tanga Mwanaidi Kombo akizungumza wakati wa siku ya kilele cha mtoto wa kike duniani iliyofanyika kwenye viwanja vya Urithi Jijini Tanga.Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Dkt Sipora...
View Article