Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12438 articles
Browse latest View live

KOFFI OLOMIDE AJA NA MPYA NYINGINE HII

 Koffi Olomide - Apeleté (Clip Officiel)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAISHI KWA WASIWASI KUFUATIA MFULILIZO WA MATETEMEKO KENYA.

 Wenyeji wa Kiambu wamekuwa wakishuhudi mitetemeko ya ardhi tangu Jumatatu.Baadhi ya wenyeji wa Kaunti ya Kiambu wanaishi kwa hofu baada ya kushuhudia misururu ya mitetemeko ya ardhi katika eneo hilo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAILA AANZA KUWA KARIBU NA RUTO.

Kundi la waendesha bodaboda Jumatano Oktoba 12 walikuwa na bahati baada ya kukutana na kiongozi wa Azimio Raila Odinga. Wahudumu wa bodaboda wakipokea zawadi ya Raila Odinga. Raila alikuwa kwenye kituo...

View Article

KWIMBA WAAMUA SABANA MALINJA NDIYE MWENYEKITI CCM WILAYA

 NA ALBERT G. SENGO / KWIMBA"Kwenye uchaguzi wowote tukubali tukatae suala la makundi, kuvutana na kusigana haliepukiki, uchaguzi umekwisha tushikamane kuhakikisha tunakijenga chama" asema mwenyekiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA PWANI WAJIZATITI KUBORESHA SEKTA YA ELIMU KWA KUJEGA VITUO VYA WATOTO.

Afisa elimu wa Mkoa wa Pwani Sara Mlaki akizungumza na washiriki wa warsha hiyo hawapo pichani iliyofanyika Wilayani Kibaha. Na Victor Masangu, Pwani Serikali mkoani Pwani katika kuunga juhudi za Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA JIJINI MWANZA

 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa anaetarajia kufanya ziara Mkoani Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima (kulia) akizungumza wakati wa kutoa taarifa ya ujio wa Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bugingo awapa somo maafisa habari Pwani kutumia taaluma yao kusaidia...

  Afisa elimu Mkoa wa Pwani Sara Mlaki  wa pili kutoka kulia aliyeketi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki katika moja ya warsha hiyo.Na Victor Masangu,Pwani Maafisa Habari wa...

View Article

WAFANYABIASHARA SOKO LA SAMAKI MISUNGWI WALIZWA

 AAA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAASWA KUTOA USHIRIKIANO THABITI KATIKA UTAFITI WA VVU NCHINI

SERIKALI imezindua Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS 2022-2023) na kueleza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ya VVU na UKIMWI kimeshuka na kufikia asilimia 4.7.Pia imedhamiria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 20 SHULE YA SEKONDARI LUPILA.

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga akizungumza wakati wa Mahafali ya 31 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Lupila.Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga akikata utepe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA KITENGO CHA HUDUMA YA MACHO BUGANDO.

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua jengo la Idara ya Macho katika Hospitali ya Kanda Bugando ambalo limekuwa na manufaa makubwa kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kwa kuwarahisishia upatikanaji wa huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YATWAA TUZO YA "BENKI BORA TANZANIA" KUTOKA JARIDA LA GLOBAL...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo, katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA AMEONDOA MFUMO DUME, WANAWAKE MJIAMINI - WAZIRI MABULA.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wanawake kujiamini na kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujiimarisha kiuchumi badala ya kuendelea kulalamika kukwamishwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIILI MIWILI YAPATIKANA IKINING'INIA KARIBU NA SHULE KAUNTI YA KISII.

 Miili ya wanaume hao imepatikana ikining'inia karibu na shule.  Mikono ya wanaume hao wawili ilikuwa imefungwa pamoja kwa nyuma, kaptura zao kuteremshwa hadi katikati na walionekana kama waliopigwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAUME ALIA BAADA YA MPENZIWE KUWA NA UHUSIANO NA MTU ALIYEDAI KUWA BINAMUYE.

Mwanamume huyo alisema walitengana na mpenzi wake baada ya miaka miwili. Picha: @kinyuaWaMuthoni. Chanzo: Twitter Mwanamume aliyetambulika kama Kinyua Wa Muthoni, amewasisimua wanamitandao kwenye...

View Article


ST CLARE HOSPITAL MWANZA WAJA NA SULUHISHO TIBA YA MIONZI KUNUSURU UHAI KWA...

 NA ALBERT G.SENGO/MWANZA"Umegusia suala la Tezi dume hapo, wengi wanaume ukileta mjadala wa changamoto hiyo, fikra zao huelekea kwenye kile kipimo cha kidole ambacho wengi hukikwepa wakisema si...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASAIDIZI JAMII WA MWALIMU 38 PWANI WAPATIWA MAFUNZO KABAMBE UFUNDISHAJI...

Na Victor Masangu, Bagamoyo Katika kukabiliana na changamoto iliyopo kwa baadhi ya watoto kusahaulika kupata fursa ya elimu ya awali Ofisi ya elimu Mkoa wa Pwani kupitia mradi wa shule bora imeamua...

View Article


KARIBU KWENYE MATEMBEZI YA MAPAMBANO DHIDI YA SARATANI YA MATITI

 TAREHE 22 October 2022, saa 12 asubuhi tukutane Jengo la CCM Mkoa wa Mwanza.Baada ya matembezi kutakuwa na huduma ya upimaji na uchunguzi wa saratani ya matiti bure katika viwanja vya Furahisha jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ruwasa kibaha yawafuta machozi kwa maji safi na salama wananchi wa Kijiji cha...

 Na Victor Masangu,Kibaha Wananchi wa Kijiji cha Kimara Misale kata ya Dutumi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wameondokana na kero ya siku nyingi ya ukosefu wa  ya maji Safi na salama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM IRINGA VIJIJINI KUANZISHA MIRADI YA KIMAENDELEO KILA KATA

 Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini Elia Kidavile akizungumzia umuhimuwa vijanawa  chama chama  mapinduzi kujitengemea kiuchumi kaimu afisa Tarafa ya Pawaga Emmanuel Ngabuji aliwapongeza...

View Article
Browsing all 12438 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>