MTANDAO WA MODEWJIBLOG WAPATA KWIKWI YA KIUFUNDI KURUDI HEWANI HIVI PUNDE
WADAU WA MTANDAO WA HABARI WA MODEWJIBLOG TUMEPATA TATIZO LA KWIKWI YA KIUFUNDI KUANZIA ASUBUHI YA LEO HIVYO TUNALIFANYIA KAZI HARAKA KWA KADIRI INAVYOWEZEKANA ILI TUWEZE KURUDI HEWANI.TUNAOMBA RADHI...
View ArticleUZINDUZI WA OFISI YA MBUNGE VITI MAALUM MWANZA.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu Taifa Grace Tendega (katikati) jana February 20,2016 akizindua ofisi Mpya ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza...
View ArticleZAKIA MEGHJI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI MOI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Zakia Meghji (wa kwanza kulia) akifungua Baraza la tatu la Wafanyakazi Taasisi hiyo sambamba...
View ArticleMKALI WA NDONDI THOMAS MASHALI KUTAFUTIWA MBABE PASAKA
Bondia Salum Nassoro akipasha na kocha wake, Maneno Abdallah katika gym yao iliyopo Mazense Midizini. Promota wa mchezo huo, Haruna Musa katika picha ya pamoja na bondia, Salum Nassoro.Kampuni ya...
View ArticleAIRTEL MONEY YAINGIA UBIA NA TOTAL KUWEZESHA WATEJA KUFANYA MALIPO KWA...
Kushoto ni mkurugenzi wa huduma ya Airtel Money Bw, Aijaz khan wakipongezana na Mkurugenzi wa Biashara wa Total Bw, Romee De Villeneve mara baada ya kuingia ubia na kuzindua Rasmi kadi maalum ya Airtel...
View ArticleRED CROSS TANZANIA CHATOA MSADDA KWA WAHANGA WA MAFURIKO WILAYANI RUFIJI
NA VICTOR MASANGU, RUFIJI PWANICHAMA cha Msalaba mwekundu Tanzania (Red Cross) kimetoa msaada wa mablanketi 300 ya kujifunikia, neti 300 pamoja na ndoo 300 vyenye thamani ya kiasi cha shilingi...
View ArticleTUME YA MIPANGO YATEMEBELEA SHIRIKA LA MAENDELEO YA VIWANDA VIDOGOVIDOGO
Bw. Omar Jumanne Bakari (wa tatu kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) akitoa maelezo kwa timu ya wataalam kutoka Tume ya Mipango ikiongozwa na Bibi. Florence...
View ArticleKAMATA SABUNI ASILI ZA KUOGEA NA HAUTOJUTA.
YOUR BEAUTY IS OUR PROGRESS.HERBAL SOAP UKWAJU:“Sabuni ya Rutuba kwa kupendezesha ngozi yako kwa muda mfupi sana.Huondoa mapunye, mba, utangotango, fangasi na kufanya ngozi yako iwe...
View ArticlePRISONS FC YAIBANA MBAVU AZAM FC.
Timu ya Azam FC yalazimishwa sare tasa na timu ya Prisons ya jijini Mbeya katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika hii leo jijini Mbeya.Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akili timu yake...
View ArticleGESI NYINGINE YAGUNDULIKA BONDE LA MTO RUVU INA UKUBWA WA UJAZO FUTI TRILIONI...
Tanzania imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto Ruvu yenye ukubwa wa ujazo wa futi trilioni 2.17.Ugunduzi huo wa...
View ArticleRIDHIWANI,DIWANI WA VIGWAZA WAGOMEA KUPOKEA MRADI WA MAJI CHALINZE.
NA VICTOR MASANGU, BAGAMOYO MBUNGE wa jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete ameungana na wakazi wa vijiji vitatu vya Kidogozelo,Kitonga na Milo,kata ya Vigwaza ,kukataa kukabidhiwa mradi wa maji...
View ArticleLICHA YA CHANGAMOTO MWANZA IMEPANIA KUSHIKILIA REKODI YA JIJI SAFI AFRIKA.
JIJI la Mwanza limetangaza mpango kabambe na kudumu wa kusafisha jiji, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha kampeni zake kuendelea kushika rekodi ya kuwa jiji safi Afrika Mashariki na hatimaye kuifikia...
View ArticleKILA SIKU MCHANA SAA 7 HADI 10 JEMBE FM WANASIMAMA HAWA HAPA
Mziki mkaliiiii Yaani ki-Nowmer nowmer bila maembe katika 1&2 akisimama @chrissthedj ** HIT ZONE** Kwa hewa kila siku za juma saa 13:00 hadi 16:00 ukiwa na @nattyebrandy @babajuti wote hawa wa-Bee...
View ArticleMWANDISHI ALIYEPIGWA NA WASIRA AFUNGUKA KILICHOTOKEA.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi aliyepigwa jana na aliyekuwa Mbunge wa Bunda Stephen Wasira leo amehojiwa na kituocha Radio JEMBE FM Mwanza na kufunguka kilichotokea katika mkasa huo ambao...
View ArticleBLOGU YA WANANCHI YATIMIZA MIAKA MITATU SHEREHE KUFANYIKA KESHO HOTELI YA...
Mkurugenzi Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela 'Le Mutuz' , akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela 'Le Mutuz' , akionesha...
View ArticleKAMA UMEKOSA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO HII NDIYO NAFASI YAKO.
Kigogo wa mabasi mwendo kasi mahakamani. Kiwanja cha ndege chageuzwa dampo la kutupia vichanga. Marais wastaafu wapishana ikulu.Vigogo watatu wanusuru hekalu la Dk.Slaa. Mawaziri wa JPM kikaangoni kwa...
View ArticleMITAALA YA LUGHA ZA ALAMA SERIKALI YASHITULIWA..
Serikali imetakiwa kuandaa mitaala ya lugha ya alama kwa wanafunzi wenye matatizo ya kusikia sambamba na kuwa na alama rasmi zinazotambulika nchi nzima.
View ArticleSERIKALI YAFUFUA KIWANDA CHA KUSINDIKA PAMBA GEITA.
Serikali imeanza kukifufua kiwanda cha pamba katika kijiji cha Mbuye mkoani Geita ili kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira na kuinua uchumi wa nchi.
View Article