RAIS MAGUFULI AAGIZA MAWAZIRI WASIOLEJESHA HATI ZA TAMKO LA MALI NA AHADI YA...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema mawaziri ambao hawajajaza Tamko la Rasilimali na Madeni wawe wamejaza fomu hizo na kuzirejesha katika Ofisi za Sekretarieti ya...
View ArticleTOVUTI YA PROIN PROMOTIONS YAVAMIWA.
Tunasikitika kuutangazia umma wa watanzania na wadau wetu kwa ujumla kuwa tovuti yetu ya www.proinpromotions.co.tz imevamiwa na watu wanaojiita Classic Flame kwa kitaalamu kunaitwa Hacked.Timu nzima ya...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI LIGI YA MPIRA WA KIKAPU -...
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumzana na wadau mbilimbali wa mpira wa kikapu (NBA) juu ya Timu bora nane kutoka kila kundi zitakazofuzu kushiriki...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA AFYA. DK KIGWANGALLA AKUTANA NA WATAALAM WA MPANGO WA BRN WA...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla mapema Februari 27.2016 amekutana katika kikao maalum na Wataalam wa Wizara hiyo ambao wapo katika timu...
View ArticleUCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO.
Majambazi wavamia benki wakiwa na silaha na mabomu, Mabosi taasisi ya elimu watumbuliwa, Polisi auwawa, ni Arsenal vs Manchester united leo. Tazama magazeti ya leo.Ukawa waituhumu CCM uchaguzi wa Meya...
View ArticleUCHAGUZI WA UMEYA DAR WAHAIRISHWA.
Kwa mara nyingine tena uchaguzi wa kumpata meya katika jiji la Dar es salaam wahairishwa kufuatia zuio la mahakama.Â
View ArticleRAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI ARUSHA KUONGOZA MKUTANO WA 17 WA KAWAIDA...
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Msshariki Mhe Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa viongozi  na wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea alipowasili Uwanja wa Ndege...
View ArticleMBUNGE MABULA APIGA MARUFUKU MAMALISHE KUNYANYASWA NA KUTOZWA FEDHA,...
Mbunge Stanslaus Mabula wa Jimbo la Nyamagana akizungumza na wakazi wa Kata ya Igoma kwenye mkutano wa kusisikiliza kero za wananchi kwenye kusanyiko la hadhara lililofanyika katika viwanja vya stendi...
View ArticleDK.KIGWANGALLA AHIMIZA JAMII KUWA NA UTAMADUNI WA KUPIMA AFYA ZAO MARA KWA MARA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla amehimiza Jamii kuwa na utaratibu wa kupima afya mara kwa mara katika hali ya kubaini matatizo yanayowakabili...
View ArticleMAGAZETI YA LEO>MAGUFULI ANAISHI NA JIPU IKULU, UKAWA WAPANGA MAZITO...
Magufuli anaishi na jipu ikulu. Ukawa wapanga mazito kukabiliana na hujuma za CCM. Polisi yazuia maandamano ya CUF;Â
View ArticleArticle 8
BAADHI YA MAAFISA MAZINGIRA WAKIHAKIKISHA ZIWA VICTORIA LINAKUA SAFI.ALIYE VAA KOFIA NYEUPE BI,ROSEMARY RWEBUGISA, AFISA UHIFADHI MAZINGIRA KANDA YA ZIWA AKIWA NA MAAFISA MANZINGIRA WENZAKE PAMOJA NA...
View ArticleBAADA YA UCHAGUZI KUMALIZIKA, HUU NDIYO MSIMAMO WA TFF KUHUSU RAIS MPYA WA FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) lilitoa tamko kabla ya uchaguzi wa rais wa FIFA kwamba, Afrika pamoja na vyama vyake vya soka vitamuunga mkono Sheikh Salman katika kinyang’anyiro hicho...
View ArticleNIGERIA INA WAFANYAKAZI HEWA 24,000/=
 Serikali ya Nigeria imeondoa karibu wafanyikazi 24,000 kutoka kwa orodha ya malipo ya wafanyikazi wa umma baada ya uchunguzi kugundua kwamba majina hayo yalikuwa ghushi. Wizara ya fedha imesema hatua...
View ArticleWADAU WAAANZA KUJENGA UELEWA KUHUSU SIKU YA MAGONJWA YANAYOTOKEA KWA KUNDI...
Wadau hao wakinyoosha mikono juu kuonesha umuhimu wa kuadhimishwa kwa siku hiyo ya Magonjwa Yanayotokea kwa kundi dogo la jamii ndani ya jamii.Mratibu wa tukio hilo Bibi Sharifa Mbaraka akizungumza...
View ArticleWAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU, KUTUA MWANZA KESHO.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akitoa taarifa juu ya ujio wa Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania na Mheshimiwa Janet Magufuri.Mkoa wa Mwanza kwa mara ya kwanza unatarajia...
View ArticleTATIZO LA DAMU SALAMA WILAYANI KWIMBA SASA LAPATA UFUMBUZI.
Mbunge wa Kwimba Mhe. Mansour akimkabidhi jokofu la kuhifadhia damu salama Kaimu Mganga Mkuu Dr. Michael na kumsisitiza kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi wajitokeze katika kuchangia damu suala...
View ArticleDK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA KWA DUKA LA DAWA LA SHINE CARE PHARMACY LA...
Imeandaliwa na Andrew Chale,modewjiblog.comNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza kufungwa kwa Duka la dawa za binadamu la Shine Care...
View ArticleORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA OSCAR 2016.
Hii hapa ni orodha ya washindi wa makala ya 88 ya Tuzo za Oscars waliotangazwa katika hafla kuu jijini Los Angeles. KWA HISANI YA BBC.Filamu bora zaidiMshindi: SpotlightThe Big ShortBridge of...
View ArticleHABARI KAMILI NA SIMULIZI YA KIJANA ALIYEUAWA JIJINI MWANZA ENEO LA CHUO CHA...
Hope ulipata kuisikia taarifa ya kuuawa kinyama kwa kijana aitwaye Justus Jackson ambaye mpaka sasa kuna mengi yamegubika mauaji yake, huku maswali mengi yakizuka yenye majibu ya haraka na yasiyo...
View Article