UCHAMBUZI MAGAZETI YA LEO> DAKTARI ATUMBULIWA KWA RUSHWA MTWARA,UTATA...
Daktari atumbuliwa kwa rushwa Mtwara. Utata wagubika uteuzi wa bosi bandari. Mdee, Kubenea wakamatwa, Simbachawene atoa neno.
View ArticleRAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA JK.
Prez Dr Magufuli condolence message to fmr Prez Kikwete whose elder brother Mzee Selemani passed on in India today. View on Twitter
View ArticleWATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGIA DAMU KWA HIYARI KUOKOA MAISHA
Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kushoto), akifanyiwa vipimo na mfanyakazi wa Maabara ya Muhimbili, Bi. Kibuna Mohammed (kulia) wakati wa zoezi la kuchangia damu lilioratibiwa...
View ArticleGAPCO YAWAPA NEEMA WALEMAVU KATIKA MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON 2016
Walemavu wakishangilia kwa pamoja na viongozi wa kampuni ya GAPCO ambao walikuwa ndiyo wadhamini mbio za kilomita 10, za Kilimanjaro Marathon 2016 zilizofanyika mjini Kilimanjaro mwishoni mwa wiki...
View ArticleMKUTANO MKUU WA LAPF KUFANYIKA MACHI 10-11, 2016 UKUMBI WA AICC JIJINI ARUSHA
Viongozi meza kuu. Meneja Masoko na Mawasiliano Mfuko wa Pensheni wa LAPF James Mlowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano mkuu wa nane wa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AMLAKI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA JIJINI ARUSHA LEO.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiongea na wanahabari mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu...
View ArticleEWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA NCHINI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu bei kikomo za mafuta...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MWANZA MAGESA MULONGO AONGOZA MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU KASSIMU...
Ndege iliyomleta Waziri Mkuu wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa imetua jijini Mwanza leo majira ya saa 11:45 jioni kwaajili ya ziara ya kikazi ya Waziri huyo kwa mikoa ya Simiyu na...
View ArticleKIWANDA BANDIA CHA PAFYUM FEKI CHANASWA TEMEKE JIJINI DAR.
Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA, yakamata kiwanda bandia cha kutengeneza manukato wilayani Temeke jijini Dar es salaam.
View ArticleRAIS YOWERI MUSEVENI AMPA 5 RAIS MAGUFULI.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ampongeza Rais John Magufuli kwa utendaji kazi wake toka alipoingia madarakani
View ArticleMAGAZETI YA LEO> POLISI, UKAWA JINO KWA JINO. WAZIRI ASIMAMISHA WAUGUZI 6...
Polisi, UKAWA jino kwa jino. Waziri asimamisha wauguzi 6 Temeke. Bei ya dizeli, petroli, mafuta ya taa yashuka.January:Lowassa aliisaidia CCM 2015. Gazeti la Dira lapewa siku 7 kumuomba radhi Sefue ....
View ArticleWAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU APOKEA MSAADA WA FEDHA WA MIL 220 KWA MATIBABUYA...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Ally Mwalimu leo Machi 2.2016, amepokea msaada wa fedha kwa ajili ya kuwezesha matibabu ya wagonjwa wa moyo katika taasisi ya Moyo...
View ArticleJAFO AMUAGIZA MKURUGENZI WA KISARAWE KUMTAFUTIA KAZI NYINGINE MENJEJA WA...
NA VICTOR MASANGU, WA GSENGO BLOGKISARAWE PWANI NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Utumishi na Utawala bora, Seleman Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kumtafutia kazi...
View ArticleAIRTEL MONEY NA FASTJET ON DEAL PICHA NA STORI
Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akipongezana na Meneja Mkuu wa Fastjet Tanzania, John Corse (kushoto) baada ya Airtel na Fastjet kuingia ubia wa kibiashara...
View ArticleWATAALAMU WAGUNDUA JENI ZINAZOSABABISHA MVI.
Wanasayansi wamebaini jeni inayosababisha nyewele kuwa na mvi,ugunduzi ambao unaweza kutoa njia mbadala za kuchelewesha ama hata kuzuia ishara hiyo ya uzee.Upakaji rangi wa nywele unaweza kuzuia lakini...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA17 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA...
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo...
View ArticleWENJE APATA PIGO MAHAKAMANI
ALIYEKUWAmgombea ubunge jimbo la Nyamagana , Ezekia Wenje (Chadema) amepata pigo baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kutupilia mbali maombi aliyowasilisha katika kesi ya kupinga matokeo uchgauzi Mkuu...
View ArticleLAMECK AIRO AKABIDHI VISIMA VIWILI ALIVYOAHIDI KIPINDI CHA KAMPENI MARA BAADA...
Mbunge wa Rorya Mhe. Lameck Airo akimtwisha ndoo ya maji mama wa kijiji cha Nyanduga wilayani Rorya mara baada ya kukabidhi visima hivyo viwili vya maji kwa wanakijiji hao."Miradi miwili ya maji kwa...
View ArticleHABARI ZA MAGAZETI YA LEO> KESI YA WENJE. MDEE KORTINI. WATUMISHI GHALA LA...
Magufuli ahamisha utumbuaji majijipu EAC. Watumishi 3 ghala la chakula wasimamishwa kazi. Mdee, Mwita kortini.Kesi ya Wenje yaibua taharuki.Dr.Slaa afunga ndoa ughaibuni. Baada ya kukanwa na...
View ArticleMADAKTARI WAWILI NA WAUGUZI WANNE WASIMAMISHWA KAZI KWA UZEMBE NA LUGHA...
Na Peter Fabian, MWANZA.MKUU wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Baraka Konisaga, ameamuru Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Adam Mgoyi kuwasimamisha kazi madaktari wawili na wauguzi wanne katika...
View Article