MFUKO WA GSM WAMKABIDHI VIFAA VYA UJENZI, MAGODORO, MKUU WA WILAYA YA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi kutoka Mfuko wa GSM ambao...
View ArticleBOA Yawajengea Uwezo wa Kibiashara Wadau na Wafanyabiashara wa Zanzibar...
Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Bwa. Ammish Owusu Amoah akitowa maelezo kwa Washiriki wa Warasha ya Siku Mbili ya Kuwajengea Uwezo Wafanyabiashara kuibua Mipango ya Biashara iliowashirikisha Wadau...
View ArticleMKUU WA MAJESHI AONGOZA KUWAAGA MAOFISA MAJENERALI 16 WA JWTZ WALIOSTAAFU
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas...
View ArticleSERIKALI YAMPONGEZA BONDIA CHEKA
.Waziri wa Habari, Mh. Nape Nnauye (kulia) akiangalia kwa makini mkanda wa ubingwa wa bondia Francis Cheka. Wengine wanaoshuhudia ni Bondia mwenye Francis Cheka, Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za...
View ArticlePOMBE NA UKATILI WA KIJINSIA
Fahamu mambo megi kutoka kwa wadau wa TAMWA, wakikufahamisha kuhusu masuala ya pombe na ukatili wa kijinsia.
View ArticleBUNDUKI 34 ZA KIVITA NA ZA KIRAIA ZILIZOKUWA ZIKIMILIKIWA NA WANANCHI...
Kamanda Wa Polisi Mkoani Arusha Liberatus Sabas akionesha moja ya baadhi ya silaha zilizosalimishwa na wamiliki na nyingine zilizotelekezwa porini.Bunduki 34 za kivita na za kiraia zilizokuwa...
View ArticleFURAHIA WIKIENDI YAKO NA PROMOSHENI YA AIRTEL INTERNATIONAL OFA.
Furahia wikiendi yako na promosheni ya airtel international ofaAirtel inakupa punguzo kila wikiendi kupiga simu za kimataifa kwenda USA, CANADA, INDIA , CHINA, KENYA, SA, UGANDA, na nyingine nyingi tu...
View ArticleJIPU SEKTA YA ELIMU:- MKUU WA MKOA WA MWANZA AMEAMURU KUKAMATWA KWA WALIMU 8...
Walimu 8 akiwemo mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mihama katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kujihusisha kimapenzi na wanafunzi shuleni hapo.Moja ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO:- KUBENEA AKUTWA NA KESI YA KUJIBU. CUF YATAHADHARISHA...
Kubenea akutwa na kesi ya kujibu.CUF yahadharisha serikali Zanzibar. CCM watoana macho umeya Dar. Wingu latanda DART.Maalim Seif kurejea nchini na msimamo kabambe. Wafanyabiashara za dawa za kulevya...
View ArticleWANAWAWAKE KUMILIKI ARDHI BADO NI NDOTO MAKETE MKOANI NJOMBE
Hii ni Ofisi ya afisa Mtendaji Kata ya Iwawa, Kituo cha wakulima Na Blogs za Mikoa Tanzania Mila potofu zinazokandamiza wanawake zimeripotiwa kuendelea kushamiri katika baadhi ya mambo baada ya...
View ArticleMASPIKA WA MABUNGE EAC WAPEWASOMO.
Spika wa Bunge Job Ndugai asema umoja wa mabunge wa jumuiya ya madola kwa nchi za Afrika umetoa nafasi kwa maspika na wabunge wa nchi wananchama kujifunza mbinu mbalimbali za kuongoza mabunge katika...
View ArticleRAIS MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA KAKA WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa na kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi...
View ArticleHATIMAYE RAIS MAGUFULI AMTANGAZA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA
March 6 2016 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza katibu mkuu kiongozi mpya kuchukua nafasi ya aliyekua kwenye nafasi hiyo Ombeni Sefue.
View ArticleDk. KIGWANGALA AZINDUA UTOAJI HATI WA VIWANJA KWA WANAWAKEMKOA DAR ES SALAAM
Dk. Kgwangalla akiwa meza kuu na viongozi wengine katika tukio hilo leo 6 Machi katika viwanja vya Biafra.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla leo...
View ArticleMAMA JAMETH MAGUFULI ATOA HAMASA KWA JAMII.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli awaomba watanzania na mashirika mbalimbali nchini kutambua kwamba kila mmoja ana wajibu wa kuwasaidia wazee na wale wenye mahitaji.
View ArticleSIMBA YAKWEA KILELENI VPL
Timu ya Simba yaitandika timu ya Mbeya City kwa jumla ya goli 2-0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika hii leo jijini Dar es SalaamBenchi la ufundi la timu ya taifa ya soka ya...
View ArticleKIPANDE CHA SEHEMU YA KUKAMATWA WALIMU 8 WATUHUMIWA WA KUJIHUSISHA KIMAPENZI...
Walimu 8 akiwemo mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mihama katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza jana walishikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kwa kosa la kujihusisha kimapenzi na wanafunzi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO> KIJAZI AMRITHI SEFUE IKULU, WAUGUZI MWANZA WATUMBULIWA,...
Kijazi amrithi Sefue ikulu. Wauguzi Mwanza watumbuliwa. UKAWA waitwa kwa meseji. Mabalozi waliotakiwa kurejea wafunga virago.NSSF wanukia ufisadi wa kutisha. ZEC yaibana mbavu CUF uchaguzi wa marudio....
View ArticleMAMA JANET MAGUFULI AWAKUMBUKA WAZEE WASIOJIWEZA KITUO CHA BUKUMBI MWANZA.
WAZEEna walemavu wa viungo wanaoishi katika mazingira magumu katika kambi ya Bukumbi iliyopo Wilaya ya Misungwi mkoani hapa, wamekumbukwa kwa kusaidiwa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh. Milioni...
View Article