Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BancABC YAFUTURISHA MARAFIKI JIJINI DAR ES SALAAM.

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum(kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGANGA WA JADI NA MFUASI WAKE WAFARIKI BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI WAKICHIMBA...

WATU wawili wamefariki baada ya fukiwa na kifusi ndani ya shimo walilokuwa wakichimba dhahabu eneo la Kangaye ‘A’Wilayani Ilemela mkoani Mwanza.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Christopher Fuime...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEVE NYERERE AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WASANII WA FILAMU NA WADAU

Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL NA MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA MIKOANI... WAANZIA ARUSHA.

Mkuu wa shule ya sekondari Sing’isi mwalimu Upendo Kanana akipanda mti katika viwanja vya shule ya sekondari Sing’isi wakati wa siku maalumu ya upandaji miti zoezi lililoendeshwa na wafanyakazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARY NAGU MGENI RASMI KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI...

Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGELEJA AONYA WATUMISHI NA WATENDAJI WATAKAO CHAKACHUA FEDHA ZA MIRADI...

Mbunge wa Jimbo la Sengerema William Ngeleja (kushoto) akimtaka Mhandisi wa Idara ya Maji Halmashauri ya wilaya ya Sengerema Barnabas Gishini kutoa ufafanuzi kuhusu hatma ya utatuzi wa kero ya maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI YA KAZI ZA WANAUME = UMIA UJAE..!!

Moja ya kazi zanye kuimarisha afya ya mwanaume.@udakuzi mtandaoniSUALA la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa, kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE KATIKA UWANJA WA TAIFA.

Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIRADI 10 YA MAJI KUTEKELEZWA KWA SHILINGI BILIONI 29.1 WILAYANI SENGEREMA

Mbunge wa Jimbo la Sengerema William Ngeleja. NA PETER FABIAN, SENGEREMA.HALMASHAURI ya Wilaya ya Sengerema kutekeleza miradi 10 ya maji kwa gharama ya shilingi bilioni 29.1kutoka katika chanzo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUKU NILIYEMFUMA SENGEREMA...!!

Ni kuku asiyekuwa na manyoya amefumwa na kamera ya mtandao huu katika kijiji cha Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza.Manyoya au magoya kama wengine wanavyoyaita humsitiri kuku katika mvua,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUIS SUAREZ AHAMIA BARCELONA

Liverpool imekubali kumuuza mshambulizi wake Luis Suarez kwa Barcelona kwa kima cha pauni milioni 75.Mchezaji huyo wa Uruguay mwenye umri wa miaka , 27, ambaye amepigwa marufuku ya miezi miinne kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII HAPA G.SENGO BONGO & NIGERIA MIXX 2014

Mara baada ya kiu na maombi ya mashabiki wengi wa burudani kutaka mixxing za Gsengo ilikuweza kusikiliza au pengine ku-download kwaajili ya kujilia burudani popote. Basi safari imeanza mdogo mdogo hebu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII MWAJUMA JIMAMA AFUNGA NDOA NA MELELA MUSSA.

Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJERUMANI BINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2014.

Germany ndiyo mabingwa wa kombe la dunia! Gotze aiweka Ujerumani mbele 1-0Mario Götze anaipatia Ujerumani bao la ushindi.Ujerumani wanakuwa timu ya kwanza kutwaa kombe la dunia katika mchuano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MKOANI MWANZA.

Meneja  Biashara Kanda ya Ziwa Raphael Daudi (wa tatu kutoka kulia) akiwa na Meneja wa Masoko Kanda Emanuel Raphael (wa kwanza kulia) pamoja na  Meneja wa Airtel mkoa wa Mwanza David Wankulu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBINGWA WA UJERUMANI WAUTIKISA MJI WA TARIME.

HAIJAWAHI kutokea tangu nchi hii kupata uhuru mwaka 1961 kwa wananchi wa mji Tarime kushuhudia mechi ya fainali kombe la dunia kati ya timu za Ujerumani na Argentina nchini Brazil kupitia TV kubwa tatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBC YAFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATILI MWINGINE WAFANYWA MTOTO AFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA KWA MIAKA SITA.

Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARA BAADA YA 'KEKUNDU' AIC MAKONGORO VIJANA KWAYA SASA KUJA NA 'KEUSI'

Stahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mhe. Stanslaus Mabula akitoa maelekezo kwa mafundi wa ujenzi wa jukwaa litakalo tumika kwenye uzinduzi wa album ya 'Keusi' toka kwao Aic Makongoro Vijana Kwaya  ambao...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>