NGEREJA KUMWAGA MIPIRA NA JEZI KWA ZIDI YA TIMU 110 ZITAKAZOSHIRIKI KOMBE LA...
NA PETER FABIAN, SENGEREMA.TIMU za vijiji zaidi ya 110 vya Kata za Jimbo la Sengerema kumwagiwa mipira kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kucheza mashindano ya kupata wachezaji watakaunda timu za Kata...
View ArticleHAWA HAPA WASHINDI WENGINE WA FUA UPAE HADI DUBAI.
Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Dinah Siame Mkazi wa Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda...
View ArticleHUDUMA KWA JAMII YA AIRTEL YATOA MSAADA WENYE THAMANI YA MILIONI 5 KWA VITUO...
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya (kulia) akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vyenye thamani ya milioni 5/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulelea watoto...
View ArticleTIDO MHANDO ATIMKA MWANANCHI
Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando akizungumza na wafanyakazi wa MCL jijini Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory CHANZO: MWANANCHIDar es Salaam....
View ArticleBob Haisa - Ramadhan Kareem (Lyrics)
 Sikiliza wimbo huku ukifuatilia mashairi yake hapo chini.ChorusYaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh! shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2Verse 1Mwezi ulojaa amani utulivu wa duniani huzidi...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA WIZARA YA HABARI,VIJANA,NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA...
 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana,...
View ArticleSASA WANANCHI KUWASILISHA MALALAMIKO YA WATENDAJI WABOVU SERIKALINI KUPITIA...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Marry Massay akiwasilisha moja kati ya mada za uboreshaji katika upokeaji taarifa za malalamiko ya utendaji mbovu wa watumishi wa...
View ArticleWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge...
View ArticleKATIKA PICHA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOUWA WATU 295.
Ndege ya shirika la Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikiwa safarini kutoka Amsterdam hadi Kuala Lumpur kukiwa na madai kwamba ilidunguliwa.Rais wa Ukraine alielezea tukio...
View ArticleAIRTEL YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAWASILIANO KWA WAGENI/WATALII
Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na  Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu...
View ArticleUCHAKARIKAJI HAPA NA PALE.
Siku hizi 'Kila kitu Siasa'.  Mtembezi.Kisesa hiyo. Bodaboda at Igoma zikisubiri wateja... Biashara na soko lisilo rasmi at Igoma.Huduma za mawasiliano at Igoma.Matundaz.Daraja la Mabatini al-Maarufu...
View ArticleCHADEMA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI YATOA TAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO; JIMBO LA KIGOMA KASKAZINITAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA VIONGOZIChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa...
View ArticleKIFO CHA MWANAMUZIKI WA FM ACADEMIA KINE DIGITAL CHAWAUMIZA WENGI.
"Umeondoka ukiwa mdogo sana..mpole..mkimya..sauti nzuri..smart..bye Kine Digital..leo nimededicate kipindi kizima cha Tanzania Stars kwako brother...poleni sana Ngwasuma na wapenzi wote wa dansi....one...
View ArticleINASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA
Imechapishwa na Global TV Jun 25, 2014Mfanyabiashara na mwimbaji Injili Bongo, Emmanuel Mbasha amesikitishwa na kitendo cha mkewe, Flora Mbasha anayedaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani na...
View ArticleUPENDO NI KUJITOA BILA KIKOMO
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo, Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA QUR-AN...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo...
View Article